DIAMOND AFUNGUKA KUHUSU MTOTO WA MOBETTOMOBETTO

DIAMON
D ANAFUNGUKA :
"Baada ya kuachana wakati, mimi nikaendelea na maisha yangu na mpaka naanzisha mahusiano yangu na Zari. Shetani akanipitia na Tukaanza tena kuwa na mawasiliano ya kimahaba mpaka pale 
@hamisamobetto alipopata ujauzito. Nilimuambia mimi ni Baba mwenye familia yangu. Inabidi jambo hili libaki kati yangu mimi na wewe. Sikupenda kuikana Mimba, ni damu yangu na kila siku iendayo kwa Mungu nilikuwa nampatia matumizi." - #DiamondOnLeoTena

Comments