RAISI mteule wa Kenya Uhuru Kenyata Aruhusu maandamano ya amani

NAIROBI, KENYA: Rais Mteule, Uhuru Kenyatta ameruhusu maandamano ya amani ya kupinga ushindi wake alioupata katika Uchaguzi Mkuu wa Agosti 8.
- Kenyatta amewataka polisi kujizuia kutumia nguvu kubwa na badala yake wawape ulinzi wakati wa maandamano hayo.


Pichani ni RAISI KENYATA
BY ALEX MUSSA

Comments