MBEYA: Soko La Sido lateketea kwa moto

Maduka na vibanda ndani ya soko la SIDO vyateketea kwa moto usiku wa kuamka leo. Hasara na chanzo cha ajali havijajulikana.
- Wananchi wametupa lawama zao kwa Jeshi la Polisi kwa kutowaruhusu kusogea eneo la tukio kuokoa mali zao.

Comments