IKULU DAR. MH RAIS JOHN POMBE MAGHUFULI

IKULU, DAR: Rais John Magufuli amesema Tanzania imekubaliana na serikali ya Misri kuja kuanzisha kiwanda kikubwa cha nyama ili kukuza ushirikiano wa kibiashara baina ya nchi hizi mbili.
- Aidha, Tanzania na Misri zimekubaliana kuendeleza ushirikiano katika maeneo mbalimbali ya Kiuchumi, Elimu, Afya na Utalii.

Comments