MSANII WA KIZAZI KIPYA KUTOKA KWENYE KUNDI LA WCB RAY VANNY ATANGAZA KUWA STUDIO YAKE IMEKAMILIKA.

Mshindi wa BET AWARDS 2017 Ray Vanny Atangangaza Rasmi KUWA studio yake imekamilika na tayar inakaribia kuanza kufanya kazi studio hiyo inaitwa (SUPRISE MUSIC)

Imeletwa kwenu na ALEX MUSSA

Comments