WABUNGE WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUTOKA CHAMA PINZANI WATANGAZA

Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwenye kambi rasmi ya upinzani, Godbless Lema, Zitto Kabwe na Tundu Lissu wametangaza kuanza kampeni ya kumsaka Msaidizi wa Freeman Mbowe, Ben Saanane aliyepotea katika mazingira ya kutatanisha tangu mwezi November 2016. #Mtanzania

Comments