SHETA AKIOMBA USHAURI KWA DIAMOND

Dah Ndugu yangu siku zote tupo wote tunahustle pamoja kumbe unanificha siri ya Mafanikio.... Hebu nifanyie kampango basi Mana nina kawimbo kangu Nataka kuitoa basi na hako kampango kakitik Naona wataimba dunia Nzima...I'm kiddin tho... Lol  @diamondplatnumz

Comments