DIAMOND PLATNUMZ AMJIBU SHETA

@officialshetta ndugu yangu,  Najua unanionea gere mwenzako toka juzi insta imehamia Madale....na wewe unataka kuingia kwenye huu upepo wa #Mzikisiasa ...we usijiulize ingia tu...maana mjini sasa hivi vingoma vya Mapenzi Vigumu...ikiwezekana jifanye hata unataka kumtolea Mahali Mange Umuoe...Kesho mji wote wako.....ila kuna mawili: Sentro au Matusi - #SimbaMason

Comments