ASKOFU GWAJIMA

Jana nilikemea Matukio Ya Utekaji yanayoendelea kutokea Tanzania. Juzi usiku Askofu wa kanisa letu Mwanza ambaye pia ni mdogo wangu Samson Gwajima alinusurika kutekwa aliokolewa na majirani. Hii lazima ikemewe na kila mtu anayependa haki.

Image result for ASKOFU GWAJIMA

Comments